Top Stories

Msiba Mbezi, alipokea wageni ofisini kwake na hao ndio wakamuulia ofisini (video+)

on

Kila mmoja akihadithiwa jinsi hili tukio lilivyotokea anapatwa na huzuni, Afisa Mtendaji huyu ameuwawa kwa kukatwa na panga Ofisini kwake Msumi, Mbezi Jijini Dar es salaam.

MUME WA MIAKA 51 AMUUA MKE WA MIAKA 47 “ALITEMBEA NA MWANAKIJIJI”

Tupia Comments