Habari za Mastaa

MSIBA: Mtoto wa Mama Kanumba, Seth Bosco afariki Dunia

on

Mdogo wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama yake, Mama Kanumba Kimara Dar Es Salaam ikiwa ni baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo.

Abela ambaye ni dada wa marehemu amethibitisha hili.

Bonyeza PLAY hapa chini kufahamu zaidi.

Soma na hizi

Tupia Comments