Top Stories

Msiba wageuka Sherehe Moshi ni binadamu mzee kuliko wote duniani (+video)

on

Sherehe ya mwisho ya bibi Susana Benjamin Mmary imefanyika nyumbani kwake huko Old Moshi Kidia, baada ya BWANA kumuita akiwa na umri wa miaka 131. Ni bahati mbaya kwamba taasisi zinazotunza rekodi za dunia haziangalii sana Afrika, lakini kabla hajafariki alipaswa kuwa ndiye mwanadamu mwenye umri mkubwa zaidi (the oldest living person).
_
Dunia inamtambua Kane Tanaka wa Japan kuwa mwanadamu mwenye umri mkubwa aliye hai kwa sasa (The Oldest Living person). Kane alitimiza miaka 117 tarehe 05 January mwaka huu.

Lakini Susana alitimiza miaka 131 March 23 mwaka huu. Rekodi ya kuzaliwa kwake ilipatikana katika kitabu cha kumbukumbu ya kanisa kilichoachwa na wamisionari wa kwanza wa Kijerumani waliokuja kueneza injili Kaskazini mwa Tanganyika na kujenga kituo cha kwanza cha misioni ya Kidia mwaka 1984.

KIMENUKA UFARANSA VURUGU ZAIBUKA, KIFO CHA MFARANSA MWEUSI, HAWAOGOPI CORONA

Soma na hizi

Tupia Comments