AyoTV

VIDEO: Utani wa Masanja akimpa Rais Magufuli Style mpya ya kutumbua Majipu

on

Mchekeshaji Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji siku zote haishiwagi vionjo vya maneno ya kufurahisha, iwe kuongea hata wakati mwingine tembea yaketu ni lazima ucheke.

Sasa leo nakukutanisha naye kwenye hii video hapa chini akimpa Rais Magufuli Style mpya ya kutumbua Majipu na mwisho kumuombea.

ULIIKOSA HII UTANI WA MASANJA, HII NDIO NJIA ANAYOSUBIRI ILI AGOMBEE TENA UBUNGE?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments