AyoTV

VIDEO: Mbunge Musukuma kawajibu mawaziri waliotenguliwa na Rais Magufuli

on

Leo May 11 2017 Mbunge wa Geita Joseph Musukuma alisimama Bungeni na kuwajibu baadhi ya waliowahi kuwa Mawaziri na baadae kutenguliwa na Rais Magufuli na sasa amekua akiwaona kama wanaikosoa serikali kwa nguvu.

Mbunge huyu wa Geita pia amemshauri Waziri wa Elimu kufanya uhakiki wa taaluma za Mawaziri hao aliowataja, PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA KILA KITU

VIDEO: ‘Nilikua siwezi kusema, sasa nimetoka kwenye Uwaziri… patachimbika’ – KITWANGA… Play hapa chini kutazama FULL VIDEO

VIDEO: ‘Hawa Wananchi hawatoturudisha tena’ – Nape Nnauye, FULL VIDEO ITAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments