Muamuzi Nasir Salum Siyah ‘Msomali’ kutoka Zanzibar ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF). Kuchezesha mchezo wa hatua ya makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) RS Berkane (Morocco) vs Stellenbosch FC (Afrika Kusini)
Msomali amechezesha mchezo wa mwisho wa Fainali Kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar na Timu ya taifa ya Burkina Faso ambao ulimpa sifaa baada ya viongozi wa mpira kuwepo uwanjani hapo mchezo kati ya RS Berkane vs Stellenbosch FC utachezwa Uwanja wa Berkane Januari 19, 2025 huko nchini Morocco.