AyoTV

VIDEO: Fainali ya Miss Tanzania 2016 mwanzo mwisho kutoka Mwanza

on

Fainali ya Miss Tanzania 2016 imefanyika kwenye jiji la Mwanza kwa mara ya kwanza toka kuanzishwa kwa mashindano hayo miaka zaidi ya ishirini iliyopita, Miss Tanzania 2016 ametangazwa kuwa ni Diana Lukumai, kutazama kila kitu bonyeza play kwenye hii video hapa chini.

MANENO YA MSHINDI WA PILI MISS TANZANIA KUHUSU MSHINDI WA MISS TANZANIA 2016

Soma na hizi

Tupia Comments