Mix

VIDEO: “Tumeamua, tutaziroga ngo’mbe mvimbe matumbo” – Musukuma

on

Mbunge wa Geita Joseph Musukuma alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni leo May 24, 2017 kuchangia mapendekezo katika Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alilieleza Bunge kuwa Serikali imekuwa inawanyanyasa Wafugaji jimboni mwake wakilazimishwa kuwauza ng’ombe bila ridhaa.

VIDEO: Mbunge ataja kero zinazowakabili Wananchi wake ikiwemo mauaji 

Soma na hizi

Tupia Comments