AyoTV

Cheki video ya Birthday Party ya Msuva wa Yanga na Dumy Utamu dancer wa Diamond

on

Kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa kawaida kwa mtu kufanya sherehekatika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa (Birthday Party), tumeshuhudia Birthday Party za mastaa kadhaa kwa mwaka 2015 kama mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo Wema Sepetu, ila usiku wa December 3 kuamkia December 4 ikawa zamu ya mastaa wawili, ambao walifanya Birthday Party yao kwa pamoja Simon Msuva wa Yanga na Dumy Utamu ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz. Team ya Ayo Tv ilikuwepo kukusanyia kila kitu, hii ni video ya Birthday Party ya Dumy na Simon Msuva.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments