Michezo

Msuva afunguka Airport “ilikuwa siku ngumu kukosa magoli” (+video)

on

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kimerejea Tanzania alfajiri ya leo kikitokea Cotonou Benin kilikocheza mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 6.

“Tunashukuru tumefika salama, tumeshinda lakini ushindi ni wa Watanzania wote tunaangalia michezo ambayo ipo mbele yetu, mchezo wa hapa nyumbani tulipata nafasi nyingi tukashindwa kuzitumia lakini Benin tukazitumia, nafurahi kufunga goli nali-dedicate kwa Wazazi wangu na Mashabiki pia” ——— Msuva

Soma na hizi

Tupia Comments