Michezo

Msuva atua Wydad Casablanca

on

Kwa mujibu wa Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana Nuhu Adam ameripoti kuwa mtanzania Simon Msuva amesaini club ya Wydad Casablanca.

Msuva amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea club ya Wydad Casablanca ya Morocco akitokea Difaa El Jadid ya Morocco pia.

Bado haijajulikana Wydad Casablanca watamtambulisha lini Simon Msuva lakini hadi anaondoka Difaa El Jadida msimu uliopita alikuwa kacheza game 28, amefunga magoli matano na kutoa assist 3.

Soma na hizi

Tupia Comments