Michezo

Msuva huyo atua Benfica, usajili wake Yanga wakosa mgao

on

Meneja wa Simon Msuva amethibitisha kuwa mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea Benfica ya Ureno lakini anaenda kwa mkopo wa miezi 6 Panathaikos ya Ugiriki, Msuva ataungana na Benfica rasmi July 2020.

Yanga wakati wa kumuuza Msuva 2017 Difaa El Jadida walishauriwa na meneja wa Msuva wamuuze dola 80,000 (Tsh mil 180) ili waweke kipengele cha kupata mgao akiuzwa kwingine (Benfica) ila walikataa na kulipwa dola 100,000 (Tsh mil 229) hivyo hawana mgao wowote.

AUDIO: MSUVA HUYO KWENYE VITABU VIPYA VYA HISTORIA, ATUA URENO

Soma na hizi

Tupia Comments