AyoTV

Dakika kumi za usiyoyajua kuhusu Simon Msuva wa Yanga

on

Katika exclusive interview za AyoTV na mastaa wa soka 2015, hii ya Simon Msuva haitakiwi ikupite pia….  ni staa wa soka kwenye headlines za ushambuliaji kwenye timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na klabu ya Dar Es Salaam Young African Simon Happygod Msuva ambaye aliwahi kucheza Azam B… usiyoyajua kuhusu yeye yako ukibonyeza hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments