Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa
Share
Notification Show More
Latest News
TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa
Mix

Wachina wakamatwa Mtwara, wakutwa wakibadili Expire date kwenye dawa

October 13, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Watu watano wakiwemo raia wawili wa China na Watanzania watatu wamekamatwa Mtwara kwa kutuhumiwa kubadili tarehe zilizokwisha muda wa matumizi kwenye dawa za kilimo (expire date) ili dawa hizo ziingizwe tena sokoni na kuonekana bado zinafaa kwa matumizi.

Inadaiwa watuhumiwa hawa wamefanikiwa kubadilisha dawa hizo kwenye mabox zaidi ya mia sita ( 600) na kuzifanya zionekane mpya ambapo Kamanda wa Polisi Mtwara amesema Watuhumiwa hao walikamatiwa Nangwanda.

screen-shot-2016-10-13-at-12-29-04-pm

Makachero wa Polisi baada ya kupewa taarifa waliwahi kwenye eneo la tukio na kukuta watu wanne wakikwangua chupa kuondoa nembo iliyoonyesha dawa hiyo ilitengenezwa tarehe 28 February 2013 na muda wake wa matumizi umekwisha tarehe 27 February 2016.

Nembo mpya feki waliyoitengeneza Wachina hawa inasomeka dawa imetengenezwa tarehe 20 February 2016 na inamaliza muda wa matumizi tarehe 19 February 2019.

Wachina wamekamatwa Mtwara wakiwa wanakwangua expire date na kuweka nyingine kwenye dawa ambazo muda wake wa matumizi umeshapita. pic.twitter.com/Py1DbJCntG

— millard ayo (@millardayo) October 13, 2016


UMEKOSA HABARI ZA MAGAZETI? MAGUFULI AOKOA BILIONI 6 KWA POSHO ZA MWENGE? ATCL MKAKATI MPYA JE? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

You Might Also Like

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo October 13, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Meneja wa Alikiba ajibu tuhuma za show ya Mombasa na za kutunishiana na Wizkid
Next Article VIDEO: Kama bado hujaitazama video mpya ya Tiwa Savage na Mjamaica Busy Signal
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
Top Stories September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023

September 30, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

September 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

September 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

September 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?