Habari za Mastaa

Mtaalamu wa mitandao ampinga Hanscana kudai wasanii hununua views Youtube ‘Haiwezekani’

on

Mtaalamu wa maswala ya mitandao anayefahamika kwa jina la Jordan Digital amefafanua kuhusu Sakata la wasanii kununua views kwenye akaunti zao za youtube, hii ni baada ya mfano alionesha Director Hanscana uliozua hoja mbali mbali mtandaoni. bonyeza play kutazama video.

HANSCANA KAFUNGUKA, KAFAFANUA SAKATA LA WASANII KUNUNUA VIEWS “MIMI SITUMIKI, ANAYETAKA ANITAFUTE”

Soma na hizi

Tupia Comments