Habari za Mastaa

Mtaalamu wa Saa alichoeleza kuhusu saa aliyonunua Diamond Marekani (video+)

on

Ulitamani kufahamu zaidi kuhusu saa aliyoonekana akiinunua Mwimbaji wa Bongo fleva Diamond Platnumz nchini Marekani? AyoTV imepita kwenye duka la Time Zone Palm Village Mikocheni Dar es salaam na kukutana na Mtaalamu wa kuuza saa aichambue saa hiyo.

MTANZANIA WA KWANZA KUHOJIWA NA KELLY CLARKSON MAREKANI “SIKUAMINI”

Soma na hizi

Tupia Comments