Top Stories

Mtambo wa kufukiza, Corona, kansa, pumu, wagonjwa wamepona “nyungu siku 3 tu” (+video)

on

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akieleza kuwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu COVID 19 wamepungua, lakini pia akitoa maelekezo ya watanzania wote kuendelea kuchukua hatua zote za kujilinda.

AyoTV imezungumza Msafiri Mjema kutoka katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam ambaye amebuni fusho ambalo watu hujifukiza.

INASIKITISHA: KIFO CHA MATESO CHA MTOTO, WATU 23,000 WALIFARIKI, MISHIPA KUPASUKA

Soma na hizi

Tupia Comments