Mtanzania Abdulrazak Gurnah ambaye ni Mtunzi maarufu wa vitabu ameshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi .
Tuzo hiyo imetangazwa Stockholm na Mats Malm ambaye ni Katibu wa Kudumu wa Swedish Academy.
Gurnah alizaliwa Zanzibar mwaka 1948 na ni Professor wa Chuo Kikuu cha Kent, Uingereza, ameandika riwaya takribani 10, kitabu chake cha kwanza ‘Memory of Departure’ ambacho kilichapishwa Mwaka 1987, pia ana vitabu vingine kama ‘Paradise’ n.k ambavyo vinatajwa kuchochea mabadiliko makubwa kwenye Jamii ikiwemo kuelezea athari za Ukoloni na hatima ya Wakimbizi.
ULIMISS OMMY DIMPOZ AKISIMULIA KIBA ALIVYOOKOA MAISHA YAKE TAZAMA HAPA
MTANGAZAJI WA WASAFI AMCHANA ALIKIBA LIVE “ONE DAY YES”