Top Stories

Mtanzania alieacha Milioni 100 kwa mwaka, abuni App ya usafiri (+video)

on

Kijana wa Kitanzania amebuni App (TWENZAO) inayomuwezesha dereva kupata abiria na abiria kupata usafiri saa 24 pale tu atakapo kuwa tayari kusafiri kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine.

Pamoja na kuwa kwa sasa Watumiaji wanaipata bila malipo matumaini yake mwaka mmoja baadae Watumiaji waongezeke hadi Milioni moja, App hiyo kwa sasa ina idadi ya Watumiaji zaidi ya mia tano.

Soma na hizi

Tupia Comments