Top Stories

Mtanzania alietoka India “Corona imetapakaa, inazidi India” (+video)

on

Watanzania waliokwama nchini India kufuatia katizo la kusafiri kutokana na Janga la Corona wamerejea nchini kwa Ndege ya ATCL na kuishukuru Serikali kwa kuwezesha kurejea nyumbani.

Watanzania 246 wamerejea nchini wakiwemo Wagonjwa walioenda kupata matibabu pamoja na wanafunzi waliokuwa wakisoma nchini Humo.

TAARIFA MPYA WAGONJWA WA CORONA WAMEPUNGUA “HOSPITAL ZA PRIVATE WAPO PIA”

Soma na hizi

Tupia Comments