Habari za Mastaa

Mtanzania aliyeokoa watoto sita Baharini na kupewa Shavu South Africa

on

Kutana na Moses Mtilema mtanzania ambaye anautaalamu wa kuokoa watu Baharini ambaye alishahusika kwenye uokoaji wa matukio tofauti tofauti likiwemo tukio lililotokea 2011 la kuzama meli ya MV Spice Islander ambapo aliokoa watoto Sita wakiwa hai kutoka baharini.

Moses amefunguka alivyopata kazi ya kuokoa watu Afrika kusini ambapo amekuwa akipata mafanikio na kutunukiwa medali na tuzo mbali mbali kitu kilichopelekea yeye kuvamiwa na wenyeji wa nchini humo.

Bonyeza PLAY hapa kumtazama Moses akielezea.

SHETTA AHUZUNISHWA NA WANAOMCHEKA BAADA YA GARI LAKE KUKAMATWA NA TRA

Soma na hizi

Tupia Comments