Top Stories

Mtanzania aliyeuawa Marekani, Familia yasimulia ‘Aligonga gari kwa nyuma’ (video+)

on

AyoTV na millardayo.com zimefika nyumbani kwa Familia ya Mtanzania Humphrey Magwira Kijana mwenye umri wa miaka 20 ambaye ameuwawa kwa kupigwa risasi njia panda ya Beechnut, Houston Texas Marekani.

BINADAMU ALIYEFANANISHWA NA SOKWE RWANDA APELEKWA SHULE, MIAKA 22 HAJUI KUZUNGUMZA

 

Soma na hizi

Tupia Comments