Top Stories

Mtanzania anayeishi Uingereza aja kivingine alipozaliwa ‘Nilikulia kwenye shida’ (video+)

on

Ni muendelezo wa habari inayomuhusu Hajath Zahra ambaye ni mama wa Kitanzania aliyezaliwa Mkoani Kagera lakini kwa sasa anaishi nchini Uingereza.

Kupitia hapa Ayo TV aliwahi kusimulia maisha yake aliyopitia mpaka kufikia hatua ya kufanikiwa na kuwekeza nje ya nchi pamoja na kuwa na maisha mazuri nje ya Nchi.

Lakini hajapasahau nyumbani alipozaliwa ambapo amekuwa akitoa misaada mbalimbali kwa watu wenye uhitaji na awamu hii anasimulia mpango aliokuja nao ili kuhakikisha anaendelea kusaidia jamii ya nyumbani kwao.

Tupia Comments