Top Stories

Mtanzania apata MILIONI 8 kwa kuuza mende ‘nimeendeleza ujenzi wa hii nyumba’

on

Unaweza kujiuliza ni mende hawahawa tunaowafahamu wamemlipa Mtu milioni 8? kafanyajefanyaje? ……kutana na Lucius Kawogo anaefuga mende shambani kwake Mdaba mkoani Ruvuma, habari kamili ipo kwenye hii video

MC PILIPILI: KUTOKA KUWA MC MPAKA KUUZA SAMAKI KWA KUWASAMBAZIA WATEJA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments