Michezo

Mtanzania apoteza pambano Urusi

on

Bondia Mtanzania Sarafina Julius amepoteza pambano la round 10 kwa point vs bondia wa Urusi Anna Levina, pambano hilo limefanyika Moscow nchini Urusi usiku wa December 14 2019.

Pambano lilikuwa la Ubingwa IBA na WPBF, promota wa pambano Mr Shamo kaomba rematch baada ya kuridhishwa na uwezo wa Sarafina.

Bado haijawekwa wazi zaidi ni lini na wapi ltyachezwa pambano hilo baada ya awali kupigwa Moscow Urusi.

Soma na hizi

Tupia Comments