Michezo

Mtanzania kasajiliwa Ureno

on

Mshambuliaji wa kitanzania Elieuter Mpepo aliyekuwa anachezea Buildcom ya Zambia, amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea A.D Sanjoanense ya Seria B nchini Ureno.

Hata hivyo club hiyo amemtoa Mpepo kwa mkopo wa miezi 6 katika club ya CD Costa Do Sol ya Msumbiji ambao ni Mabingwa wa Ligi hiyo.

Kabla ya Eliuter kwenda kucheza soka nchini Zambia aliwahi kuvichezea vilabu kadhaa kama Tanzania Prisons na Singida United.

Soma na hizi

Tupia Comments