Top Stories

Mtanzania mwenye ng’ombe anayeuzwa Milioni 12 ‘Nauzia Mbwa maziwa’ (video+)

on

Ayubu Urio ni Mtanzania anayeishi eneo la Tengeru Mkoani Arusha ambapo amejichukulia umaarufu kwenye maonyesho mbalimbali kwa kuwa na mifugo yenye thamani kubwa ambapo ametuonyesha Ng’ombe anayeuzwa millioni kumi na mbili.

Tupia Comments