Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

MAAJABU: Mti umekuwa gumzo baada ya kugoma kukatwa, Mwanza

on

Story ambayo inatawala kwenye headlines mbalimbali kwa sasa ni ile inayotoka Mwanzaambako imeripotiwa kuwa upo mti ambao umegoma kukatwa. Mti huo uliopo pembezoni mwa Barabara ya Airport eneo la Pasiansi unadaiwa pia kuwa unazungumza jambo linalokusanya watu kwenda kuushuhudia.

Ayo TV na millardayo.com imefika eneo la tukio na zimekusogezea FULL video ya tukio hilo ambalo unaweza kulishuhudia kwa ku-play…

Bonyeza Play hapa chini kutazama Full story…

HEKA HEKA: Kuhusu Kijiji chenye Fisi wengi na Mti unaopiga shoti Shinyanga

Soma na hizi

Tupia Comments