Premier Bet
TMDA Ad

Mix

PICHA 11: Mtoto aliyenenepa zaidi duniani arudi shuleni baada ya kupunguza uzito

on

Mtoto wa miaka 10 kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto aliyenenepa zaidi duniani alianza kupewa chakula cha kupunguza uzito Arya Permana ameorodheshwa kuwa na unene usio wa kawaida kwa kuwa alikuwa na uzani wa kilo 188.

Mtoto huyu hatimaye ameweza kurudi shuleni baada ya kupunguza uzito wa kutosha wa kumwezesha yeye kutembea kwani siku zote  alikuwa akillala na hakuweza kutembea na kusababisha yeye kukatisha masomo. 

Mtoto huyu unaambiwa amekuwa akila milo mitano kwa siku lakini baada ya ushauri wa kufanya diet na mazoezi makali Arya ameanza kupunguza uzito ndani ya wiki chache sasa anaweza kukaa lakini pia kutembea kwenda shule na kucheza na wenzake darasani

 37910A5400000578-0-image-a-14_1472112939844

 

37914F6100000578-3757808-image-a-31_1472113878084 37914F7900000578-3757808-image-a-29_1472113873956 37914FA600000578-3757808-image-a-30_1472113875954 379109A800000578-0-image-a-9_1472112905612 379109B800000578-0-image-a-10_1472112910875 379109C000000578-0-image-a-12_1472112926239 379109E300000578-0-image-a-11_1472112916316 3791095D00000578-0-image-a-5_1472112874137 3791099C00000578-0-image-a-8_1472112886880 3791095000000578-0-image-a-6_1472112876743

ULIKOSA HII YA HAFSA KAZINJA KUHUSU KUINGIA KWENYE UIMBAJI WA DINI NA MENGINEYO? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments