Vijana wawili wamenusurika kifo baada ya dereva aliyekuwa akiendesha gari ya baba yake kuiangusha katika eneo la darajani Kwa Mworombo Mkoani Arusha wakati akiwa kwenye mwendo kasi.
NYOKA APATIKANA AKIWA HAI KWENYE GARI,ACHUKULIWA NA WASIOJULIKANA “ALIKUWA NA HASIRA SANA”