Top Stories

Mtoto adaiwa kumchinja Baba yake, vilio na simanzi vimetalawa (video+)

on

Vilio na Simanzi vimetawala mtaa wa Lumbira Kata ya Iwambi jijini Mbeya, baada ya mtoto ambaye ni Mwanajeshi aliyefahamika kwa Mina la Mussa kudaiwa kumuua Baba yake Mzazi, Edward Ndonde aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM).

MZEE WA MIAKA 68 AUAWA NA VIJANA WANAOENDESHA PIKIPIKI ARUSHA

MAMA ATOKWA NA MACHOZI ABOMOLEWA NYUMBA KISA LAKI TATU AFUNGUKA “WATOTO WANGU NITAWAPELEKA WAPI?”

Soma na hizi

Tupia Comments