Top Stories

Mtoto aliefichwa kifo cha Familia yake aibuka na jipya “Baba alituhumiwa” (+video)

on

Anna Zambi, Binti wa Miaka 16 aliyeopoteza Wazazi pamoja na Wadogo zake baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji Wilayani Handeni, Tanga amesema anatamani kuwa Mwanasheria kutokana na matatizo yaliyomkuta baba yake kipindi akiwa Afisa Uchaguzi kwa kosa ambalo hakulifanya yeye.

OFFICIAL VIDEO “NA WEWE UNATAKA UHONGWE GARI TUMEISHA” – BUGANGA

Soma na hizi

Tupia Comments