Top Stories

Mtoto atoweka baada ya siku 10 mwili wakutwa ukielea kisimani (+video)

on

Jeshi la Polisi kwa kishirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Tabora wamefanikiwa kuuopoa mwili wa mtoto wa miaka miwili aliyepotea Desemba 31,2020 na Januari 9 umekutwa ukielea kisimani ukiwa umeharibika.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mama mzazi wa marehemu Saida Yahaya na Mwenyekiti wa Mtaa wa Kidatu B Kata ya Mtendeni Manispaa ya Tabora Nicholaus Mayaga wamesema walimtafuta na kutoa taarifa maeneo mbalimbali bila mafanikio na hatimaye wameuona mwili ukielea kwenye kisima nyuma ya nyumba wanayoishi.

AIRPORT: ASKARI 5 WAINGIA MTEGONI, MAAGIZO YATOLEWA “TAARIFA ZA INTELEJENSIA, KUPO SHWARI”

Soma na hizi

Tupia Comments