Top Stories

Mtoto auawa na mgambo akishirikiana na mtendaji kisa kuiba malapa,waandamana ofisini

on

Wananchi na ndugu wameandamana katika Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Fuka wilayani Siha Mkoani Kilimanajro.

Kufuatia tukio la Mwanafunzi Bright Mrang’u mwenye umri wa miaka 13 kuuawa na Mtendaji wa kijiji hicho akishirikiana na Askari mgambo kwa tuhuma za kuiba malapa nyumbani kwa daktari anayeishi karibu na Shule aliyokuwa akisoma mwanafunzi huyo.

Tupia Comments