Mix

Mtoto auwawa na kutupwa pembeni mwa mto huko Geita

on

Mtoto Johnson Thomas mwenye umri wa miaka 14 Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Buhalahala amekutwa amefariki dunia huku akiwa ametelekezwa pembeni ya Mto mita 120 kutoka Barabarani wilayani Geita Mkoani Geita.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa Mtoto huyo alitoka nyumbani kwao kwa kutumia usafiri wa Bajaji iliyokuwa inaendeshwa na Benson Theophili kuelekea Buhalahala Centre kwa ajili ya kushonewa sare za Shule.

Tupia Comments