Top Stories

Mtoto Baraka Seif baada ya kufanya vizuri majaribio Ulaya arejea nchini (+video)

on

Mtoto Barka Seif (7) leo amerejea nchini akitokea Ubelgiji hiyo ni baada ya kuwa na mwezi mzima katika nchi za Uholanzi na Ubelgiji kwa ajili ya kufanya majaribio ambayo yamekuwa na mrejesho chanya.

Soma na hizi

Tupia Comments