Top Stories

Mtoto jasiri amkosha Magufuli ” Shule yetu mbovu mbovu”, amkabidhi Milioni 5 (+video)

on

Leo July 30, 2020 Mtoto mdogo Rehema Mikidadi amemkosha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa jinsi alivyoelezea kero ya ubovu wa Shule anayosoma.

“Naichangia Shule ya Msingi Somanga Milioni 5, OCD wa hapa hakikisha hizi fedha zinaenda benki na zinapelekwa katika hiyo shule, mkazitumie kweli nitakuja nifuatilie lakini laki moja ibaki kwa huyu mtoto” Rais Magufuli

 

Soma na hizi

Tupia Comments