Top Stories

Mtoto wa Gift alieuawa asimulia alichoambiwa na Baba yake kabla hajafariki (+video)

on

Mchumba wa Kijana Gift Mushi aliyeuwawa kwa risasi weekend iliyopita kwenye Bar Sinza kwa Remmy Dar es salaam ni miongoni mwa waliojitokeza leo kumzika Gift kwenye Makaburi ya Kijichi Dar es salaam akiongozana na Mtoto wao pekee waliebahatika kumpata.

Mwanamke huyu amesema mara ya mwisho kuongea na Gift ilikua ni siku ya tukio ambapo baada ya kupigwa risasi marafiki zake Gift walimpigia simu kabla hajazidiwa na maumivu.

Soma na hizi

Tupia Comments