Habari za Mastaa

Mtoto wa Masoud alielala kitandani miaka 10 afariki, Alikiba aguswa

on

Mtoto wa Mtangazaji Masoud Kipanya aitwae Malcom Ally amefariki leo July 28, 2021 Dar es salaam, msiba utakuwa Mlimani City pembeni ya jengo la Mwenge Tower na maziko yanatarajiwa kufanyika kesho makaburi ya Kisutu DSM saa saba mchana.

TAZAMA DIAMOND NA ALIKIBA WALIVYOWAHI KUMUIMBIA ‘MALCOM’ ENZI ZA UHAI WAKE

Soma na hizi

Tupia Comments