Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mtoto wa miezi miwili afariki baada ya kuanguka ndani ya sufuria la uji wa moto
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023
December 9, 2023
Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Misondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
December 9, 2023
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa
December 8, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mtoto wa miezi miwili afariki baada ya kuanguka ndani ya sufuria la uji wa moto
Top Stories

Mtoto wa miezi miwili afariki baada ya kuanguka ndani ya sufuria la uji wa moto

November 20, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Mtoto wa miezi miwili ameuawa baada ya kuanguka ndani ya sufuria la uji wa moto baada ya mzozano wa Ksh.1700 (Tsh 27,922) zikiwa ni pesa za ‘Chamaa’ vikiwa ni vikundi kidogo vya kusaidiana vinavyojulikana huku Tanzania kama vikoba au upatu. Kisa hicho kilitokea katika kijiji cha Koduol ‘B’, iliyoko katika kaunti ya Homa Bay, nchini Kenya.

Mtoto huyo aliyetambulika kwa jina la Sheldon Churchill alianguka kwenye uji uliokuwa unachemka jikoni wakiwa nyumbani kwa mama yake pindi ambapo wanachama hao walipofika na kudai malipo ya pesa ambayo walikuwa wanamdai mama huyo.

Mama mzazi wa mtoto huyo Sharon Auma (19) anasema wanachama na ‘Chamaa’ wapatao 20 waliingia nyumbani kwake kudai pesa lakini yeye hakuwa na kiasi hicho cha fedha hivyo kusababisha mzozano mkubwa kati yao, akieleza kuwa alikuwa amekopa mkopo wa Ksh.2500 (Tsh 41,062) kutoka kwenye ‘Chamaa’ lakini alikuwa amelipa Ksh.800 (Tsh 13,140) pekee.Wanakikundi hao walimwambia Sharon alipe Ksh.1700 iliyobaki au malii zake zingepigwa mnada.

Kulingana citizen digital, ugomvi huo ulizidi kuwa mkubwa wakati wanachama wa kikundi hicho walipoamua kuchukua magunia 16 ya mahindi makavu ili kulipa deni hilo. Sharon Auma alidai kuwa wanawake wawili walimsukuma pale alipokuwa akijaribu kuwadhibiti ili wasiingie kwenye chumba alichohifadhia magunia ya mahindi, kupelekea mtoto aliyekuwa amembeba kuangukia sufuria la uji. Kwa mujibu wa Benson Adongo mtoto huyo wa kiume alifariki alipokimbizwa hospitali ya rufaa ya Homa Bay.

You Might Also Like

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

Wadau Morogoro wajitokeza kutoa msaada Hanang, RC aipokea

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA November 20, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Chelsea wanataka kuongeza nambari 9 kwenye safu yao katika siku za usoni.
Next Article Vyuo vyaaswa kutumia kamati za Ushauri wa kitasnia kupitia kwenye mradi wa Heet
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe
Top Stories December 9, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023
Top Stories December 9, 2023
Usiku huu: Balaa la Misso Misondo, Tazama akiwaimbisha Wana Dar ‘Temeke’, sio Mchezo
Entertainment December 9, 2023

You Might also Like

Entertainment

‘Ulivyo muongo, ndivyo mzunguko wako utakuwa mkubwa’ – Burna Boy

December 8, 2023
Entertainment

‘Hii ni sababu ya kwa nini napenda familia zenye wake wengi’ – Teni

December 8, 2023
Entertainment

Rapper Kodak Black, akamatwa baada ya kupatikana na dawa za kulevya aina ya cocaine

December 8, 2023
Entertainment

Daddy Yankee, amestaafu rasmi muziki sasa ‘kuhubiri ulimwengu habari za Yesu’

December 7, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?