Leo nakukaribisha kuisikiliza ngoma mpya kutoka SA inaitwa ‘The Kid’ ya kwake Ciza ambaye ni mtoto wa Mwanadada Nhlanhla Nciza ambaye ni member wa kundi la Mafikizolo, Kwa sasa Ciza anafanya vizuri sana nchini Afrika Kusini aki-hit na ngoma kadhaa ikiwemo alifonya na Maphorisa ‘Bank Notification, Adje. Bonyeza Hapa kuisikiliza >>> HAPA