Habari za Mastaa

Kutana na mtoto mwenye umri wa miaka 6 analipwa zaidi ya milioni 12 kwa wiki

on

dogoMtoto mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya comedy ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni analipwa dola 8,000 kila wiki akitokea kwenye episode moja.

Kutokana na mkataba wake ambapo atahusika kama mhusika mkuu kwenye season ya kwanza ya show mpya ya Disney, August Maturo atakua anaingiza dola 32,000 kila mwezi ambazo ni zaidi ya milioni 5o.

Show hiyo imeshapita kwa ajili ya season nyingine ambapo anaweza kusain mkataba wa pesa nyingi zaidi ya anazopata hivi sasa ambapo itakuwa inaonekana kwenye Disney Channel inaitwa Girl Meets World.

Tupia Comments