Habari za Mastaa

Video: Mtazame mtoto wa miaka 12 aki-rap style ya staa huyu kutoka Nigeria…

on

Muziki ni moja kati ya tasnia ambazo kila siku zinazidi kukua katika bara la Afrika, April 23 2016 nakukutanisha na kipaji cha mtoto mwenye umri wa miaka 12 akiwa anarap kama Rappe Olamide kutokea pande za Nigeria.

Haya ni baadhi ya maswali aliyoyajibu mtoto huyo wakati akifanyiwa interview ‘Mimi Rol-Model wangu ni Olamide Badoo na nina ndoto ya kuwa msanii na ninaimba kumzidi Baddo‘>>>Emmanuel Osodi Mtoto wa miaka 12

Unaweza ukaitazama hii Video hapa chini na unaweza ukatuachia comment yako pia…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

ULIMISS HII YA VICENT BOSSOU ALIVYOELEZEA TABIA NA MBINU ZA WACHEZAJI WA AL AHLY ZILIZOMFANYA AKASIRIKE? TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI

Tupia Comments