Top Stories

MTWARA: Watu watano wafariki katika ajali ya gari

on

Watu 5 wamefariki dunia na 6 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya TATA kuacha njia na kuligonga gari aina ya Isuzu Journey katika Kijiji cha Msanga kata ya Mtesa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mtwara Kamishna msaidizi wa Polisi Mark Njera amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo, taarifa zaidi kukujia hapahapa ndani ya millardayo.com.

“DAMU YA MTANZANIA HAIENDI BURE” SIRRO ATOA MAAGIZO, WANAFUNZI 10 KUFARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments