Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Jibu alilotoa Aunty Ezekiel kuhusu ndoa na Mose Iyobo

on

Mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na moja ya maswali ameulizwa ni kuhusu ndoa na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, yuko tayari kwa ndoa?

Amejibu >>>Mose Iyobo ameniambia kuhusu ndoa lakini sijui, naiona poa kwasababu mwisho wa siku mwanangu anampenda sana baba yake na siko tayari kumpoteza Iyobo kwasababu ya mwanangu, yani ukiacha mazingira mengine yote nimemuahidi mtoto wangu furaha ya milele

ULIIKOSA YA MOSE IYOBO NA AUNTY EZEKIEL WALIVYOMFANYIA BIRTHDAY PARTY MTOTO WAO? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments