Top Stories

RC Mbeya amnasa mwingine kwenye 18 “alikuwa na mpango wa kuua? (+video)

on

Mvua kubwa iliyonyesha Mkoani Mbeya imesababisha Watu 5 kufariki na kuvunjika kwa daraja katika eneo la Mwasanga Jijini Mbeya ambapo RC Mbeya amefika eneo la tukio na kuagiza Mkandarasi aliyejenga daraja hilo akamatwe mara moja ili atoe ufafanuzi kuhusu ubora wa daraja hilo.

DIWANI WA CHADEMA “MAGUFULI KUSUDI LA MUNGU, MHESHIMU KAMA MUMEO”

Soma na hizi

Tupia Comments