Top Stories

Kamanda ‘Mtalaamu’ aibuka na jipya “wanaotaka kujinyonga 2020 watakamatwa kabla” (+video)

on

Baada ya kupokea taarifa ya watu wawili kujinyonga mpaka kufa December 31,2019 Mkoani Tabora, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi hilo litaanza msako wa kuwabaini na kuwakamata wote wanaotarajia kujinyonga mwaka

“Niwambie mwaka huu tabia hizo zikome kwa wanaotegemea kujinyonga tutaanzisha doria kuhakikisha wote wanaotarajia kujinyonga mwaka huu tunawakamata kabla hawajinyonga na tunawapelekea mahakamani” RPC Tabora

JENGO LA CCM LA MIKUTANO LIMETEKETEA KWA MOTO, KATIBU AONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments