Top Stories

Hitimisho la mafunzo ya JKT “wengine walitoroka” (+video)

on

Vijana operation Makao Makuu Dodoma waliohitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Kujenga Taifa wametakiwa kuwa makini na kujilinda kutotumiwa na mtu au kikundi chochote bali kulitumikia Taifa na Serikali katika kulinda dola.

“TUMEWAUA MAJAMBAZI 12, WALIRUSHA BOMU TUTAWATANDIKA IWE FUNZO” – RPC KIGOMA

Soma na hizi

Tupia Comments