Burudani

Aslay katinga ndani ya Funga Mwaka na King Kiba (+video)

on

Staa wa Bongofleva Aslay alishtukiza kwenye usiku wa Funga Mwaka na King Kiba na kupanda stejini kisha kuimba wimbo wake wa Pusha. Usipime shangwe aliyoipata Aslay baada kupanda stejini na kuangusha burudani kum-support King Kiba.

LIVE :FUNGA MWAKA NA KING KIBA DAR ES SALAAM

Soma na hizi

Tupia Comments