Top Stories

“Tutabomoa kile kilami chake aanze kujenga upya” RC Kigoma (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia General Mstaafu Emmanueli Maganga amesema Mkoa huo, ndio pekee Tanzania ambao haujaungwa na Mikoa mingine pamoja na kumuagiza Mhandisi wa TANROAD Mkoa wa Kigoma kuzingatia kanuni za ujenzi wa barabara ili kuepusha adha kwa watumiaji na wananchi.

Pia RC Kigoma amekasirishwa na kasi anayoenda nayo Mkandalasi anaetengeneza barabara ya Kigoma mpaka Kasulu. 

MAGUFULI AMGEUKIA BODI GADI WAKE, AMFANYA ATOE LAKI CASH

Soma na hizi

Tupia Comments